karibu

cholemu architecture

Cholemu architecture ni dawati lililoanzishwa na kampuni ya Cholemu investment ltd inayojihusisha na uuzaji wa viwanja na mashamba kwa mikopo isiyo na riba wala dhamana.
Dawati hili lilianzishwa baada ya kugundua kuwa wateja wengi wanakutana na changamoto za ujenzi baada ya kupata viwanja vyao. Kwa maana hiyo dawati hili lipo mahususi kwa kusaidi wateja wa cholemu investment na watanzania wote kwa ujumla wanaohitaji ushauri katika masuala ya ujenzi.

Dawati letu lina wataalamu mbalimbalia wa masuala ya ujenzi wakiwemo wasanifu majengo na wakandarasi.

Kupitia tovuti yetu hii utaweza kuona baadhi ya ramani zetu za majengo mbalimbali na kuzipakua bila gharama yoyote.

Ni vizuri kufuata ushauri kwa wataalamu wa ujenzi kabla ya kuanza ujenzi wa nyumba/jengo ili kuepukana gharama zisizo za lazima.

Huduma Zetu

Kuchora ramani

Tunachora ramani za nyumba na majengo mbalimbali.

Ujenzi

Tunatoa huduma ya ujenzi kwa wateja wenye ramani zao.

Ukarabati

Tuanakarabati nyumba na majengo yaliyochakaa ama kubomoka.

Makadirio

Tunafanya makadirio ya gharama za ujenzi.

Ushauri

Tunatoa ushauri kuhusu masuala ya ujenzi kwa kuzingatia Ubora, Viwango na gharama.

Usimamizi

Tunatoa huduma za usimamizi wa ujenzi kuanzia hatua za mwanzo (design) mpaka mwisho (finishing).

Jinsi ya kupata ramani zetu

Fungua ukurasa wetu uliondika "RAMANI" au bofya hapo chini "RAMANI" kisha uchague na kupakua ramani utakayo. Baada ya hapo tupigie simu na ututajie namba ya ramani utakayo (Mfano A1, A3, B2) kisha utapata mchanganuo wake na gharama yake.

Subscribe to our newsletter

2019 | Design by PUSH DIGITAL